Mark 15:41

41 aHawa walifuatana na Isa na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwepo wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye Yerusalemu.

Maziko Ya Isa

(Mathayo 27:57-61; Luka 23:50-56; Yohana 19:38-42)

Copyright information for SwhKC